Heri masikini wa roho
Vale Bodnar
Nitakuwa na furaha kama... nitakuwa na ujasiri wa kugawanya!
Lengo la kijitabu cha kwanza ni::
Kujifunza kutoa na kupokea kwa kupima mahitaji yako na yale ya wengine
Tutakuwa na furaha kama... tutakuwa na ujasiri wa kugawanya!
Lengo la kijitabu cha pili ni:
Kufufua ushirika wa vit u, wa kiroho na wa vipaji, katika ngazi ya mahali na ngazi ya dunia
Vifaa vingine muhimu:
Password: SempreUno
Film "Nguvu ya Ukarimu" kwa ajili ya shughuli ya utangulizi wa kijitabu cha kwanza.
PPT Video kuhusu "Heri masikini wa roho (IT)" kutoka kwenye video "Heri" iliyoandaliwa na senta kuu ya gen 3. Kutoka
kwenye mada ya Chiara kwa gen 3 wavulana na wasichana ya mwaka 1975 iliyopyaishwa kwa picha na muziki.
Alamisho kuhusu "Utamaduni wa kutoa"
Mavumbuo: 305