2017-2018 Mafunzo Gen3 13 - 17 Heri
Vale Bodnar
Pata hapa nyenzo "Katika utafutaji wa furaha! Heri" zinazofaa kwa umri wa miaka13-17. Mapendekezo, yanayofaa ili kuandaa mikutano ya mwaka, yanaendana na mada ya Maria na yanatoa mafunzo ya kina ya Heri nne, kutoa jibu la hamu ya furaha ya mtu binafsi na ya jumuiya.
Tunakushauri usome kwanza mpango wa utangulizi utakaokusaidia kutumia vizuri nyenzo zilizopendekezwa.
Unaweza kupakua vijitabu nane vya mwezeshaji na viambatisho: mapendekezo ya mafunzo ya kina kwa ajili ya mwezeshaji, shughuli, michezo, video n.k... nyenzo zichaguliwe kulingana na mahitaji maalumu ya kundi husika la gen 3, chipkizi wa umoja, vijana wa Parokia na Jimbo n.k.
01 Heri- Heri masikini wa roho
02 Heri- Heri wenye njaa ya haki maana
03 Heri- Heri wenye moyo safi
04 Heri- Heri wapatanishi
Mavumbuo: 309