Heri wapatanishi
Vale Bodnar
Nitakuwa na furaha kama... nitajifunza kujenga amani
Lengo la kijitabu cha kwanza ni::
Kutambua hali za kila siku ambapo inawezekana kujenga amani kibinafsi, kwa kujituma ipasavyo.
Tutakuwa na furaha kama... tutajifunza kujenga amani
Lengo la kijitabu cha pili ni:
Kuhamasisha na kusambaza utamaduni wa amani katika mazingira yetu ya kazi, ili kuwahusisha wengine katika jitihada yetu
Mavumbuo: 257