Heri wenye njaa ya haki maana
Vale Bodnar
Nitakuwa na furaha kama... nitapenda haki!
Lengo la kijitabu cha kwanza ni::
Kutambua hali za kila siku ambazo kwazo tunaweza kung’amua na kuhakikisha haki na kuwa na ufahamu wa jukumu letu.
Tutakuwa na furaha kama... tutapenda haki
Lengo la kijitabu cha pili ni:
Tutambue uwezekano wa kujituma kibinafsi na kama kundi, katika kutekeleza haki katika ngazi ya dunia nzima.
Vifaa vingine muhimu:
Password: SempreUno
PPT Video kuhusu "Heri wenye njaa ya haki (FR)" kutoka kwenye video "Heri" iliyoandaliwa na senta kuu ya gen 3. Kutoka
kwenye mada ya Chiara kwa gen 3 wavulana na wasichana ya mwaka 1975 iliyopyaishwa kwa picha na muziki.
Mavumbuo: 258