Gundua uzuri ulio ndani yako
Jonna de Guzman
Kazi inayoendelea...
Pata hapa nyenzo "Gundua uzuri ulio ndani yako! Hapana kwa miziz ya dhambi na ndiyo kwa fadhila" zinazofaa kwa umri wa miaka 9-12. Mapendekezo muhimu ili kuandaa mikutano ya mwaka, yanakubaliana na mada ya Maria na kutusaidia kujua na kujifunza fadhila ndani yetu kwa kuongoza uchaguzi wetu kuelekea mema na upendo wa kiinjili.
Tunakushauri kusoma kwanza mchoro wa kwanza wa utangulizi, ambao husaidia kutumia vizuri nyenzo zilizopendekezwa.
Unaweza kupakua vijitabu nane kwa ajili ya mwezeshaji na viambatisho: mapendekezo kwa mafunzo ya kina kwa mwezeshaji, shughuli, michezo, video, nk ... Vifaa vinahitaji kuchaguliwa na kulengwa na mahitaji maalum ya kundi la gen 3, chipkizi wa moja, vijana wa Parokia na Jimbo, nk.
Mavumbuo: 230