2017-2018 Mafunzo Gen3 13 - 17 Heri

joy e alice copia

Pata hapa nyenzo "Katika utafutaji wa furaha! Heri" zinazofaa kwa umri wa miaka13-17. Mapendekezo, yanayofaa ili kuandaa mikutano ya mwaka, yanaendana na mada ya Maria na yanatoa mafunzo ya kina ya Heri nne, kutoa jibu la hamu ya furaha ya mtu binafsi na ya jumuiya.

Tunakushauri usome kwanza  mpango wa utangulizi  utakaokusaidia kutumia vizuri nyenzo zilizopendekezwa. 

Unaweza kupakua vijitabu nane vya mwezeshaji na viambatisho: mapendekezo ya mafunzo ya kina kwa ajili ya mwezeshaji, shughuli, michezo, video n.k... nyenzo zichaguliwe kulingana na mahitaji maalumu ya kundi husika la gen 3, chipkizi wa umoja, vijana wa Parokia na Jimbo n.k.

01 Heri- Heri masikini wa roho

02 Heri- Heri wenye njaa ya haki maana 

03 Heri- Heri wenye moyo safi

04 Heri- Heri wapatanishi

Gen2 e Gen4

Image
Image

Gen3/RPU

Image
Image
Image
Image

Centro Gen3
e Ragazzi per l'Unità

Via Frascati, 306
00040 Rocca di Papa (Roma), Italia

+39 06 947 8382

Image
Image